Fursa kwa Diaspora

Uongozi wa ATF umepokea ujumbe wa fursa kutoka Ubalozi wetu wa Kitanzania nchini Uswidi: Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania nchi za Nordic na Batic Tumepokea barua kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF yenye maelezo kuhusu miradi na huduma mbalimbali zitolewazo na taasisi hiyo kwa wateja wake ikiwa ni pamoja na Watanzania wenzetu waishio Ughaibuni. Kutokana [...]

2018-03-09T18:03:34+00:00March 9th, 2018|ATF, habari, Uncategorized|Comments Off on Fursa kwa Diaspora

Taarifa Ya Msiba Toka Ubalozini

ATF imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba wa  afisa Ubalozi BW. ARTHUR ENOS MWAMBENE Aliyefariki tarehe 28 Januari 2018 huko Dar es salaam Tanzania. Ifuatayo ni taarifa rasmi toka Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania - Sweden   ATF kwa niaba ya wanajumuiya wake wote, inaotoa pole kwa wote waliofikwa na kuguswa na [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00January 29th, 2018|ATF, Msiba, Ubalozi, Uncategorized|Comments Off on Taarifa Ya Msiba Toka Ubalozini

SHEREHE YA KUWAAGA FC VITO

Kutakuwa na sherehe ya kuwaaga watoto wa FC VITO Kutoka Lindi - Tanzania Sherehe hii imeandaliwa na wenyeji wa FC VITO na waandaaji wa Helsinki CUP. Tarehe: Jumamosi 15 Julai 2017 Mahali: Radiokatu 20 Helsinki Muda: 18:00 Sherehe ni ya wazi, lengo ni kuagana na watoto wetu kutoka Tanzania baada ya michuano yao ya Helsinki [...]

2017-07-14T15:47:38+00:00July 14th, 2017|Uncategorized|Comments Off on SHEREHE YA KUWAAGA FC VITO

Taarifa ya Mwaliko wa kushiriki Mdahalo wa kuadhimisha miaka 10 toka kuanzishwa Mjengwa Blogu

ATF kupitia Uongozi wake unapenda kuwataarifu wanajumuiya kuhusu mwaliko wa kushiriki mdahalo wa kuanzishwa Mjengwa Blogu. Mdahalo huo utafanyika Machi 21 mpaka Machi 23 mwaka huu, katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam. Nakala ya mualiko inapatikana HAPA! Bw Mjengwa ni mmiliki wa Blogu ya kijamii ya Mjengwablog na vilevile ni mwendesha kipindi [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00February 24th, 2017|habari, Tanzania, Uncategorized|Comments Off on Taarifa ya Mwaliko wa kushiriki Mdahalo wa kuadhimisha miaka 10 toka kuanzishwa Mjengwa Blogu
Go to Top