About ATF

This author has not yet filled in any details.
So far ATF has created 29 blog entries.

Tanzia – Abba Mjengwa

Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha mtoto wa wanajumuiya wenzetu. Bw.Khamis Mjengwa na Bi.Jecinta W. Kamau wamefiwa na mtoto wao wa kiume Abba Mjengwa. Abba Mjengwa amefariki tarehe 14 Februari 2022, Dar-es-Salaam, Tanzania. Abba alikuwa ana umri wa miaka miwili. Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa rambirambi kwa [...]

2022-02-18T17:49:46+00:00February 18th, 2022|ATF, Msiba|Comments Off on Tanzia – Abba Mjengwa

ATF – Imeahirisha Uandaaji Wa Sherehe Za Uhuru 2021

Ndugu Wanajumuiya, Uongozi wa ATF unawataarifu kwamba, sherehe za uhuru za mwaka huu (2021) zinazoandaliwa na ATF zimeahirishwa. Sababu za kuahirishwa kwa sherehe za uhuru za mwaka huu ni zifuatazo: • Katika hojaji (maswali) iliyotumwa tarehe 1.11.2021 kupitia kundi la WhatsApp la Jumuiya ; kati ya wanachama walipa ada 58, watu 13 walijibu, na kati [...]

2021-11-25T00:26:30+00:00November 25th, 2021|ATF, UHURU|Comments Off on ATF – Imeahirisha Uandaaji Wa Sherehe Za Uhuru 2021

Mualiko Toka TANRIKS SWEDEN

ANGALIZO: Ujumbe huu umetumwa hapa kwa niaba ya TANRIKS Salam toka TANRIKS Sweden, Ni matumaini yetu kuwa barua pepe hii imewafikia wote mkiwa salama, Kutokana na Ushirikiano mzuri tulionao Diaspora na Vyama vya Diaspora vinavyohudumiwa na Ubalozi wa Tanzania Stockholm, Tunaomba kuwaharika katika Sherehe ya kusherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Miaka [...]

2021-11-21T11:44:35+00:00November 20th, 2021|Diaspora, habari, Ubalozi, UHURU|1 Comment

Tanzia: Deodata Madembwe

Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mtanzania na mwanajumuiya mwenzetu Bi. Deodata Madembwe. Bi. Deodata Madembwe amefariki katika ajali ya gari iliyotokea Ruaha Mbuyuni, Iringa usiku wa tarehe 13 kuamkia tarehe 14 Novemba, 2021 akiwa safarini toka Mbeya akielekea Dar-es-Salaam, Tanzania. Bi. Deodata Madembwe alikuwa anaishi hapa Ufini katika mji [...]

2021-11-15T09:13:47+00:00November 15th, 2021|ATF, Msiba|Comments Off on Tanzia: Deodata Madembwe

Tanzia – Steven Seyayi

Ndugu Watanzania tuishio Ufini Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Ufini - ATF, kwa masikitiko makubwa unatangaza kifo cha Mtanzania mwenzetu marehemu Bw Steven Seyayi au Steve, kilichotokea ghafla jijini Dar es salaam siku ya Ijumaa Novemba 8, 2019 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Mauti yalimkuta njiani wakati wa jitihada za kumfikisha hospitali. Marehemu aliishi [...]

2019-11-16T21:15:19+00:00November 16th, 2019|ATF, Msiba|Comments Off on Tanzia – Steven Seyayi
Go to Top