Jumuiya ya Watanzania Ufini (ATF) ni CHAMA kwa ajili ya KILA MTANZANIA anayeishi Ufini. ATF ipo kwa ajili ya kuwaunganisha Watanzania wote waishio Ufini katika masuala mbalimbali ya kijamii. Zaidi ya hapo, ATF itajishughulisha katika uwakilishaji wa maslahi ya Watanzania hapa Ufini na nyumbani Tanzania. Soma zaidi…