Mafunzo kwa ajili ya Vijana na Wazazi

Ndugu Mwanajumuiya, Uongozi umepokea taarifa kuhusu kuwepo tukio la kuelimisha vijana, wazazi ambao ni wahamiaji hapa nchini Finland. Mwakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Elimu Finland atakuwepo kwenye tukio hilo. LINI: Alhamisi, Aprili 11, 2019 saa kumi jioni. Taarifa zaidi inapatikana kwenye picha ifuatayo: 🗓 Uongozi ATF

2019-02-20T04:11:01+00:00February 20th, 2019|Uncategorized|0 Comments

Kongamano la Baraza la Diaspora la Dunia

Ndugu Mwanajumuiya, Uongozi wa ATF unakutaarifu kuhusu zinduo la Baraza la Diaspora la Dunia au kifupi TDC (Tanzania Global Diaspora Council). Zinduo hilo litafanyika Aprili 10, mwaka huu (siku ya Jumatano). Siku hiyo itajumuisha vilevile habari kuhusu uwekezaji na wawekezaji Tanzania. Tafadhali rejea picha hapa chini kwa taarifa kuhusu uzinduzi huo: Maelezo zaidi ya kujiandikisha [...]

2019-01-27T20:15:46+00:00January 27th, 2019|Uncategorized|0 Comments

Balozi Slaa ajitambulisha rasmi Finland

Ndugu Wanajumuiya, Siku ya Alhamisi Oktoba 25, 2018 Mh Balozi Dr. Willibrod Slaa alikutana na Rais wa Finland Mh Sauli Niinistö kwenye Ofisi za Rais mjini Helsinki, Finland. Mkutano huo ulikuwa wa kujitambulisha rasmi kwa Balozi Dr Willibrod Slaa kama Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nchi za Nordic na Baltic. [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00October 27th, 2018|Uncategorized|Comments Off on Balozi Slaa ajitambulisha rasmi Finland