18 02, 2022

Tanzia – Abba Mjengwa

2022-02-18T17:49:46+00:00February 18th, 2022|ATF, Msiba|Comments Off on Tanzia – Abba Mjengwa

Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha mtoto wa wanajumuiya wenzetu. Bw.Khamis Mjengwa na Bi.Jecinta W. Kamau wamefiwa na mtoto wao wa kiume Abba Mjengwa. Abba Mjengwa amefariki tarehe 14 Februari 2022, Dar-es-Salaam, Tanzania. Abba alikuwa ana umri wa miaka miwili. Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa rambirambi kwa [...]

25 11, 2021

ATF – Imeahirisha Uandaaji Wa Sherehe Za Uhuru 2021

2021-11-25T00:26:30+00:00November 25th, 2021|ATF, UHURU|Comments Off on ATF – Imeahirisha Uandaaji Wa Sherehe Za Uhuru 2021

Ndugu Wanajumuiya, Uongozi wa ATF unawataarifu kwamba, sherehe za uhuru za mwaka huu (2021) zinazoandaliwa na ATF zimeahirishwa. Sababu za kuahirishwa kwa sherehe za uhuru za mwaka huu ni zifuatazo: • Katika hojaji (maswali) iliyotumwa tarehe 1.11.2021 kupitia kundi la WhatsApp la Jumuiya ; kati ya wanachama walipa ada 58, watu 13 walijibu, na kati [...]