Matka Nordic Travel Fair 2019

Unakaribishwa kutembelea banda la Tanzania katika maonesho ya Matka Nordic Travel Fair 2019, yanayofanyika Helsinki Finland, katika ukumbi wa maonesho wa Messukeskus 18.-20.1.2019. Banda la Tanzania ni 7F141 Kwa maelezo kuhusu washiriki, ratiba pamoja na gharama za kuingia, tafadhali tembelea Matka Nordic Travel Fair Tanzania inawakilishwa na wadau mbali mbali ambao wamekuja maalum kwa ajili ya kutangaza [...]

2019-01-17T07:10:46+00:00January 16th, 2019|Finland, habari, Tanzania|Comments Off on Matka Nordic Travel Fair 2019

Kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Tanzania, kupitia Ubalozi wetu wa Uswidi unakutangazia utaratibu wa kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Maelezo kamili kuhusu utaratibu huo yanapatikana hapa. Tafadhali mjulishe na Mwanadiaspora mwingine Uongozi - ATF

2019-01-10T20:35:51+00:00January 10th, 2019|Tanzania|Comments Off on Kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

Namna ya kupata Pasipoti Mpya ya Kielektroniki

Ndugu Mwanajumuiya, Kama ambavyo labda umekwisha kusikia, utoaji wa Pasipoti mpya umeanza nchini Tanzania. ATF inawaletea maelezo rasmi na ya kina ya utaratibu wa kufanya maombi ya kupata Pasipoti za kielektroniki (hasa kwa Wanadiaspora). Unashauriwa kufanya hivyo endapo hujaomba Pasipoti hii mpya ya kielektroniki tayari. Maelekezo yanapatikana hapa (bofya neno 'hapa'). Endapo utakuwa unahitaji usaidizi [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00October 10th, 2018|ATF, Diaspora, Tanzania|Comments Off on Namna ya kupata Pasipoti Mpya ya Kielektroniki

Taarifa kuhusu Uthibiti wa Watanzania wanaotoka nje ya nchi

Ndugu Wanajumuiya, Kama mtakavyokuwa mmesikia toka vyanzo mbalimbali kuhusu suala la uthibiti mkali kwa Watanzania wanaotaka kutoka nje ya nchi, yaani Tanzania. Kumekuwa na taarifa zinazodai kwamba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inawataka Watanzania wanaotaka kutoka nje ya nchi wawe na vibali vya kazi vya nchi waendazo. Uongozi wa ATF uliwasiliana na Ubalozi [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00August 8th, 2018|Tanzania, Ubalozi|Comments Off on Taarifa kuhusu Uthibiti wa Watanzania wanaotoka nje ya nchi