Ndugu Mwanajumuiya,

ATF inapenda kuwataarifu kwamba, katika Mkutano Mkuu wa ATF utakaofanyika siku ya Jumamosi (23/03/2019), Uongozi umefanya maandalizi yafuatayo kuhusu watoto wenu:

  1. Sehemu ya watoto kukaa na kucheza kwa pamoja
  2. Chakula na vinywaji kwa ajili ya watoto.

Hivyo basi, kuweni huru kuja na watoto kwenye Mkutano wa Jumuiya yetu.

Ni vema kuja na watoto, kwani itawapa nafasi ya wao kuzidi kufahamiana kama Watoto wa Kitanzania.

Uongozi ATF