Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Bw. John Mponda ambaye pia alikuwa mwalimu wa Taasisi ya sanaa TASUBA, Bagamoyo. Marehemu ni kaka katika familia ya kina Mponda waishio Finland (Mernard, Deo, Michael, Catherine).

Msiba umetokea leo nchini Tanzania.

Tutakutana leo nyumbani kwa dada wa mfiwa Catherine Knuutila kuipa mkono wa pole familia ya kina Mponda:
Anuani: Tieteenkatu 6 A 77, Tampere.

Mawasiliano: 045 2316 898

Mipango ya mazishi bado inaendelea na mtajulishwa siku za usoni. Tutawataarifu zaidi tupatapo habari kupitia vyombo vya mawasiliano ya ATF.

Tafadhali mfahamishe na mwingine.

Uongozi – ATF