Taarifa za Msiba

TANZIA

Kwa masikitiko makubwa Uongozi wa ATF unawataarifu kuhusu msiba wa Mrs Rosesia Mamrecha Kamnde, ambaye ni Mama mzazi wa Jennifer Kamnde. Msiba umetokea leo Disemba 15, 2018 hospitali ya Lugalo, Dar-es-salaam. Familia inatarajia kuzika siku ya Alhamisi. Jennifer naye anategemea kusafiri kwenda Tanzania muda wowote kuanzia sasa.

AKAUNTI YA RAMBIRAMBI
Akaunti: FI 55 1146 3500 4280 39
Jina: Jennifer Hundson
Benki: Nordea
Ujumbe: Pole Jennifer

Marehemu apumzike kwa amani. Tafadhali mfahamishe na mwingine.

Uongozi ATF

2018-12-15T14:06:10+00:00December 15th, 2018|Msiba|Comments Off on Taarifa za Msiba