Taarifa Ya Msiba

TANZIA

Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Baba mzazi wa Mtanzania mwenzetu Bi Yvonne Kajiru – Mzee Dr Rabieth K. Mndeme.
Msiba umetokea tarehe 14 mwezi wa tano, 2018 huko Same, Tanzania.

Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa RAMBIRAMBI kwa ajili ya mkono wa pole kwa mwenzetu.

Akaunti ya Rambirambi
Jina: ATF
Akaunti: FI22 7997 7997 6161 77
Benki: Holvi
Ref: 15011

ATF itapokea rambirambi kwa niaba ya mfiwa.

Muda wa mchango ni mpaka tarehe 1.6.2018

Bi Yvonne Kajiru anatarajia kusafiri kwenda Tanzania tarehe 15.05.2018 kwa shughuli za mazishi.

Tafadhali mfahamishe na mwingine.

UONGOZI – ATF

2018-05-15T11:36:03+00:00May 15th, 2018|ATF, Msiba|2 Comments

2 Comments

  1. […] Taarifa Ya Msiba May 15, 2018 […]

  2. […] Taarifa Ya Msiba May 15, 2018 […]

Comments are closed.