Taarifa Ya Msiba Toka Ubalozini

ATF imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba wa  afisa Ubalozi BW. ARTHUR ENOS MWAMBENE Aliyefariki tarehe 28 Januari 2018 huko Dar es salaam Tanzania.

Ifuatayo ni taarifa rasmi toka Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania – Sweden

[pdf-embedder url=”http://tanfin.org/wp-content/uploads/2018/01/TAARIFA-YA-MSIBA.pdf” title=”TAARIFA YA MSIBA”]

 

ATF kwa niaba ya wanajumuiya wake wote, inaotoa pole kwa wote waliofikwa na kuguswa na msiba huu.
Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi AMINA.

2018-12-05T05:18:36+00:00January 29th, 2018|ATF, Msiba, Ubalozi, Uncategorized|Comments Off on Taarifa Ya Msiba Toka Ubalozini