RISALA YA ATF

Ndugu Mwanajumuiya,

Kutokana na uwepo wa Balozi wetu Mh. Dkt. Willibrod Peter Slaa kama mgeni rasmi wa heshima kwenye sherehe za Uhuru, Uongozi wa ATF unaandaa risala ya kumsomea Mh. Balozi.

Uongozi wa ATF umeona ni vema kuwahusisha Wanajumuiya wote katika kuchangia maombi, mapendekezo, hoja, maswali n.k

Endapo utakuwa na mchango mmojawapo wa yaliyotajwa hapo juu, basi wasiliana na ATF kwa njia mojawapo kati ya hizi:

  1. SMS 0442408110
  2. Whatsapp 0442408110
  3. Barua pepe mawasiliano@tanfin.org

ANGALIZO

Tarehe ya mwisho ya kupokea maoni yenu ni Novemba 25, 2018.

Uongozi ATF

2018-12-05T05:18:35+00:00November 9th, 2018|ATF, Diaspora|Comments Off on RISALA YA ATF