ATF imepokea kutoka Ubalozi wa Tanzania Sweden, tiketi saba(7) za kuingilia kwenye maonesho ya utalii yajulikanayo kama Matka & Caravan 2018

Tiketi zinaweza kutumika Tarehe 19, 20 au 21 Januari 2018

Maelezo ya Maonesho:
Jina: MATKA Nordic Travel Fair | 18-21 Jan 2018
Mahali: Messukeskus Itä Pasila Helsinki.
Banda: Banda la Tanzania ni namba 7D148.

Kama unahitaji kutembelea maonesho hayo basi wasiliana na ATF kupitia mawasiliano@tanfin.org

Kumbuka tiketi ni 7 tu, hivyo zitatolewa kwa watu 7 wa kwanza kuzihitaji

Kwa maelezo kuhusu Maonesho tembelea hapa

Uongozi-ATF