Kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Tanzania, kupitia Ubalozi wetu wa Uswidi unakutangazia utaratibu wa kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Maelezo kamili kuhusu utaratibu huo yanapatikana hapa.

Tafadhali mjulishe na Mwanadiaspora mwingine

Uongozi – ATF

2019-01-10T20:35:51+00:00January 10th, 2019|Tanzania|Comments Off on Kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)