Kongamano la Baraza la Diaspora la Dunia

Ndugu Mwanajumuiya,

Uongozi wa ATF unakutaarifu kuhusu zinduo la Baraza la Diaspora la Dunia au kifupi TDC (Tanzania Global Diaspora Council). Zinduo hilo litafanyika Aprili 10, mwaka huu (siku ya Jumatano). Siku hiyo itajumuisha vilevile habari kuhusu uwekezaji na wawekezaji Tanzania. Tafadhali rejea picha hapa chini kwa taarifa kuhusu uzinduzi huo:

Maelezo zaidi ya kujiandikisha kuhudhuria tukio hili yanapatikana kwenye tovuti ya Baraza la Diaspora Duniani.

Uongozi ATF

2019-01-27T20:15:46+00:00January 27th, 2019|Uncategorized|Comments Off on Kongamano la Baraza la Diaspora la Dunia