Karibu Sherehe za Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania

Uhuru wa Tanzania

Uhuru wa Tanzania

Kwa mara nyingine tena, Uongozi wa ATF unaandaa Sherehe za Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania. Sherehe zitafanyika JUMAMOSI ya tarehe 8 Disemba 2018. Watanzania wote waishio Finland na nchi jirani wanakaribishwa kwenye sherehe hizo. Kutokana na sheria za udhibiti wa idadi ya watu ili ilingane na uwezo wa ukumbi husika, ni muhimu kujiandikisha ili ATF ifahamu idadi sahihi ya watakao hudhuria Sherehe za Uhuru. Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 02.12.2017 saa 23:59. KARIBUNI WOTE!
Uongozi – ATF
28.10.2018

2018-12-05T05:18:35+00:00October 28th, 2018|Finland, UHURU|Comments Off on Karibu Sherehe za Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania