Jiandikishe2018-12-05T05:18:34+00:00

Karibu kujisajili kwenye Tovuti ya ATF au kujiandikisha Uanachama wa ATF

 
KUJISAJILI KWENYE TOVUTI ya ATF
JISAJILI HAPA
ANGALIZO Kwa kujisajili kwenye TOVUTI ya ATF utaweza kusoma habari nyeti (yaani habari ziwahusuzo Watanzania tu). Vilevile, Uongozi wa ATF utaweza kukutumia kwa anuani pepe yako TAARIFA muhimu toka Ubalozini.
KUJIANDIKISHA UANACHAMA wa ATF
JIANDIKISHE HAPA
ANGALIZO Ukisha bofya, fomu inaweza chukua sekunde saba kutokea. Kwa kujiandikisha Uanachama utakuwa moja kwa moja UMEJISAJILI na TOVUTI ya ATF. ADA ya Chama ni EUR 4.50 kwa Mwezi.