27 01, 2019

Kongamano la Baraza la Diaspora la Dunia

2019-01-27T20:15:46+00:00January 27th, 2019|Uncategorized|Comments Off on Kongamano la Baraza la Diaspora la Dunia

Ndugu Mwanajumuiya, Uongozi wa ATF unakutaarifu kuhusu zinduo la Baraza la Diaspora la Dunia au kifupi TDC (Tanzania Global Diaspora Council). Zinduo hilo litafanyika Aprili 10, mwaka huu (siku ya Jumatano). Siku hiyo itajumuisha vilevile habari kuhusu uwekezaji na wawekezaji Tanzania. Tafadhali rejea picha hapa chini kwa taarifa kuhusu uzinduzi huo: Maelezo zaidi ya kujiandikisha [...]

16 01, 2019

Matka Nordic Travel Fair 2019

2019-01-17T07:10:46+00:00January 16th, 2019|Finland, habari, Tanzania|Comments Off on Matka Nordic Travel Fair 2019

Unakaribishwa kutembelea banda la Tanzania katika maonesho ya Matka Nordic Travel Fair 2019, yanayofanyika Helsinki Finland, katika ukumbi wa maonesho wa Messukeskus 18.-20.1.2019. Banda la Tanzania ni 7F141 Kwa maelezo kuhusu washiriki, ratiba pamoja na gharama za kuingia, tafadhali tembelea Matka Nordic Travel Fair Tanzania inawakilishwa na wadau mbali mbali ambao wamekuja maalum kwa ajili ya kutangaza [...]

10 01, 2019

Kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

2019-01-10T20:35:51+00:00January 10th, 2019|Tanzania|Comments Off on Kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)

Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Tanzania, kupitia Ubalozi wetu wa Uswidi unakutangazia utaratibu wa kujiunga na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Maelezo kamili kuhusu utaratibu huo yanapatikana hapa. Tafadhali mjulishe na Mwanadiaspora mwingine Uongozi - ATF

30 12, 2018

Nafasi za Mafunzo ya Kazi

2018-12-30T20:55:24+00:00December 30th, 2018|habari|Comments Off on Nafasi za Mafunzo ya Kazi

  Ndugu Wanajumuiya, ATF inawataarifu kuhusu nafasi za mafunzo ya kutafuta wataalamu watakaofuzu katika masuala ya Ujasiriamali na matumizi ya TEHAMA (Information Communication Technology). Mafunzo yanadhaminiwa na Mradi wa Mfuko wa Nchi za Umoja wa Ulaya - EU. Maelezo zaidi yapo katika viambatanishi hapa na hapa. Unaweza kutuma mtalaa wa maelezo binafsi - CV kwa [...]

15 12, 2018

Taarifa za Msiba

2018-12-15T14:06:10+00:00December 15th, 2018|Msiba|Comments Off on Taarifa za Msiba

TANZIA Kwa masikitiko makubwa Uongozi wa ATF unawataarifu kuhusu msiba wa Mrs Rosesia Mamrecha Kamnde, ambaye ni Mama mzazi wa Jennifer Kamnde. Msiba umetokea leo Disemba 15, 2018 hospitali ya Lugalo, Dar-es-salaam. Familia inatarajia kuzika siku ya Alhamisi. Jennifer naye anategemea kusafiri kwenda Tanzania muda wowote kuanzia sasa. AKAUNTI YA RAMBIRAMBI Akaunti: FI 55 1146 3500 [...]