22 10, 2018

HUDUMA YA PASIPOTI

2018-12-05T05:18:35+00:00October 22nd, 2018|Uncategorized|Comments Off on HUDUMA YA PASIPOTI

Ndugu Wanajumuiya, ATF imepokea taarifa toka Ubalozini kuhusu ujio wa Balozi wetu mpya kuja kuleta hati zake ili kujitambulisha rasmi Serikalini hapa Ufini. Mheshimiwa Balozi atarajiwa kufika siku ya Jumatano 24 (kesho kutwa). Sambamba na ujio huo wa Balozi, kutakuwa na huduma za maombi ya Pasipoti kwa wale ambao pasipoti zao zimekwisha muda. ANGALIZO Pasipoti [...]

10 10, 2018

Namna ya kupata Pasipoti Mpya ya Kielektroniki

2018-12-05T05:18:35+00:00October 10th, 2018|ATF, Diaspora, Tanzania|Comments Off on Namna ya kupata Pasipoti Mpya ya Kielektroniki

Ndugu Mwanajumuiya, Kama ambavyo labda umekwisha kusikia, utoaji wa Pasipoti mpya umeanza nchini Tanzania. ATF inawaletea maelezo rasmi na ya kina ya utaratibu wa kufanya maombi ya kupata Pasipoti za kielektroniki (hasa kwa Wanadiaspora). Unashauriwa kufanya hivyo endapo hujaomba Pasipoti hii mpya ya kielektroniki tayari. Maelekezo yanapatikana hapa (bofya neno 'hapa'). Endapo utakuwa unahitaji usaidizi [...]

4 10, 2018

Sherehe ya Uhuru wa Mtanzania 2018

2018-12-05T05:18:35+00:00October 4th, 2018|Uncategorized|Comments Off on Sherehe ya Uhuru wa Mtanzania 2018

Ndugu Mwanajumuiya, Uongozi wa ATF ungependa kuwataarifu kuhusu kuwepo kwa Sherehe za Uhuru siku ya Jumamosi, Disemba 8, 2018. Kwa taarifa hii, tungependa kuwajulisha: Mipango ya maandalizi ya Sherehe zinaendelea Uongozi utawatumia habari zaidi kupitia njia zake za mawasiliano Mheshimiwa Balozi, Dkt. Wilbroad Slaa atakuwa mgeni rasmi wa Sherehe hiyo. MUHIMU Taarifa hii imekusudia kuwapa [...]