Balozi Slaa ajitambulisha rasmi Finland

Ndugu Wanajumuiya, Siku ya Alhamisi Oktoba 25, 2018 Mh Balozi Dr. Willibrod Slaa alikutana na Rais wa Finland Mh Sauli Niinistö kwenye Ofisi za Rais mjini Helsinki, Finland. Mkutano huo ulikuwa wa kujitambulisha rasmi kwa Balozi Dr Willibrod Slaa kama Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nchi za Nordic na Baltic. [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00October 27th, 2018|Uncategorized|Comments Off on Balozi Slaa ajitambulisha rasmi Finland

HUDUMA YA PASIPOTI

Ndugu Wanajumuiya, ATF imepokea taarifa toka Ubalozini kuhusu ujio wa Balozi wetu mpya kuja kuleta hati zake ili kujitambulisha rasmi Serikalini hapa Ufini. Mheshimiwa Balozi atarajiwa kufika siku ya Jumatano 24 (kesho kutwa). Sambamba na ujio huo wa Balozi, kutakuwa na huduma za maombi ya Pasipoti kwa wale ambao pasipoti zao zimekwisha muda. ANGALIZO Pasipoti [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00October 22nd, 2018|Uncategorized|Comments Off on HUDUMA YA PASIPOTI

Sherehe ya Uhuru wa Mtanzania 2018

Ndugu Mwanajumuiya, Uongozi wa ATF ungependa kuwataarifu kuhusu kuwepo kwa Sherehe za Uhuru siku ya Jumamosi, Disemba 8, 2018. Kwa taarifa hii, tungependa kuwajulisha: Mipango ya maandalizi ya Sherehe zinaendelea Uongozi utawatumia habari zaidi kupitia njia zake za mawasiliano Mheshimiwa Balozi, Dkt. Wilbroad Slaa atakuwa mgeni rasmi wa Sherehe hiyo. MUHIMU Taarifa hii imekusudia kuwapa [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00October 4th, 2018|Uncategorized|Comments Off on Sherehe ya Uhuru wa Mtanzania 2018

KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI ATF

Ndugu mwanajumuiya, Unakaribishwa kuhudhuria kikao kijacho cha Jumuiya ya Watanzania kuleta mawazo yako ya maendeleo, na kupata fursa ya kujifunza shughuli na mipango ya Jumuiya. Kikao hiki kitafanyika siku ya Jumamosi, Septemba 1, 2018. Muda ni saa tano kamili (11:00) juu ya alama. Bofya kiambatanishi upate kujua zaidi kuhusu kikao hicho. Usikose nafasi hii kuhusika [...]

2018-08-24T17:52:58+00:00August 24th, 2018|Uncategorized|Comments Off on KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI ATF