Taarifa kuhusu Uthibiti wa Watanzania wanaotoka nje ya nchi

Ndugu Wanajumuiya, Kama mtakavyokuwa mmesikia toka vyanzo mbalimbali kuhusu suala la uthibiti mkali kwa Watanzania wanaotaka kutoka nje ya nchi, yaani Tanzania. Kumekuwa na taarifa zinazodai kwamba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inawataka Watanzania wanaotaka kutoka nje ya nchi wawe na vibali vya kazi vya nchi waendazo. Uongozi wa ATF uliwasiliana na Ubalozi [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00August 8th, 2018|Tanzania, Ubalozi|Comments Off on Taarifa kuhusu Uthibiti wa Watanzania wanaotoka nje ya nchi

Mwaliko wa Siku ya Kiswahili (Swahili Day)

Kwa wanajumuiya wote wa Kitanzania waishio Finland, Ubalozi wa Tanzania, Kenya, Rwanda, DRC (Congo), Zambia na Msumbiji unawakaribisha kwenye tukio la Siku ya Kiswahili/ Swahili Day itakayokuwa nchini Uswidi. Siku hiyo itaadhimishwa JUMAMOSI. tarehe 16, mwezi Juni. Kauli mbiu ya sherehe za mwaka huu ni CHILDREN AND SWAHILI LITERATURE ANUANI: Bergshamra Skola, Hjortsigen 1, Bergshamra [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00May 24th, 2018|habari, Ubalozi|Comments Off on Mwaliko wa Siku ya Kiswahili (Swahili Day)

Nafasi ya kutuma maombi ya pasipoti (sio za kieletroniki)

Ndugu Mwanajumuiya, ATF imepokea taarifa toka Ubalozi wa Tanzania Uswidi kwamba Afisa Ubalozi wetu anatarajia kuwepo Helsinki kwa ajili ya mkutano wa kiserikali. Siku za nyuma ATF iliwahi kutuma ombi Ubalozini la kuletewa huduma ya maombi ya pasipoti. Sambamba na ziara yake ya kiserikali, Afisa Ubalozi amependekeza siku ya JUMAMOSI ya tarehe 28 APRILI, 2018 [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00April 21st, 2018|Finland, Ubalozi|Comments Off on Nafasi ya kutuma maombi ya pasipoti (sio za kieletroniki)

Salaam kutoka kwa Balozi Dkt. Willibrod Peter Slaa kwa Watanzania Wanaoishi katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine

Balozi Wa Tanzania Katika nchi za Nordic na Baltic DKT Willibrod Peter Slaa Uongozi wa ATF umepokea barua ya salaam kwa wanadiaspora toka kwa Mh. Balozi Willibrod Slaa. Tafadhali soma salam hizo kutoka kwenye barua iliyo ambatanishwa hapa chini. [pdf-embedder url="http://tanfin.org/wp-content/uploads/2018/03/Salaam-kwa-Diaspora.pdf" title="Salaam kwa Diaspora"]

2018-12-05T05:18:36+00:00March 23rd, 2018|Diaspora, habari, Ubalozi|Comments Off on Salaam kutoka kwa Balozi Dkt. Willibrod Peter Slaa kwa Watanzania Wanaoishi katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine