Namna ya kupata Pasipoti Mpya ya Kielektroniki

Ndugu Mwanajumuiya, Kama ambavyo labda umekwisha kusikia, utoaji wa Pasipoti mpya umeanza nchini Tanzania. ATF inawaletea maelezo rasmi na ya kina ya utaratibu wa kufanya maombi ya kupata Pasipoti za kielektroniki (hasa kwa Wanadiaspora). Unashauriwa kufanya hivyo endapo hujaomba Pasipoti hii mpya ya kielektroniki tayari. Maelekezo yanapatikana hapa (bofya neno 'hapa'). Endapo utakuwa unahitaji usaidizi [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00October 10th, 2018|ATF, Diaspora, Tanzania|Comments Off on Namna ya kupata Pasipoti Mpya ya Kielektroniki

Taarifa kuhusu Uthibiti wa Watanzania wanaotoka nje ya nchi

Ndugu Wanajumuiya, Kama mtakavyokuwa mmesikia toka vyanzo mbalimbali kuhusu suala la uthibiti mkali kwa Watanzania wanaotaka kutoka nje ya nchi, yaani Tanzania. Kumekuwa na taarifa zinazodai kwamba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inawataka Watanzania wanaotaka kutoka nje ya nchi wawe na vibali vya kazi vya nchi waendazo. Uongozi wa ATF uliwasiliana na Ubalozi [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00August 8th, 2018|Tanzania, Ubalozi|Comments Off on Taarifa kuhusu Uthibiti wa Watanzania wanaotoka nje ya nchi

TAARIFA MUHIMU KWA DIASPORA

Jumuiya ya Watanzania (ATF) imepokea taarifa kupitia kiongozi wake kuhusu upatikanaji wa kitambulisho cha Taifa: Ndugu Watanzania wenzangu, Hakuna asiyejua umuhimu wa kuwa na kitambulisho cha kitaifa hasa kipindi hiki ambapo ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha anapata kitambulisho hicho. Mamlaka inayotoa vitambulisho vya kitaifa (NIDA), wakotayari na wanatoa huduma hiyo katika jengo la Magereza [...]

2018-03-22T05:46:03+00:00March 1st, 2018|Diaspora, habari, Tanzania|Comments Off on TAARIFA MUHIMU KWA DIASPORA

HUDUMA ZA UINGIZAJI NA UTOAJI WA MIZIGO YA DIASPORA NCHINI

Jumuiya ya Watanzania imepokea barua ifuatayo kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi: Kwa viongozi wa jumuia ya Watanzania nchi za Nordic na Baltic. YAH: HUDUMA ZA UINGIZAJI NA UTOAJI WA MIZIGO YA DIASPORA NCHINI Ubalozi wa Tanzania, Sweden umepokea barua kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambayo ni maelezo ya [...]

2018-01-12T17:54:18+00:00January 12th, 2018|Finland, habari, Tanzania|Comments Off on HUDUMA ZA UINGIZAJI NA UTOAJI WA MIZIGO YA DIASPORA NCHINI