Taarifa ya Msiba mwingine

Kwa masikitiko Uongozi wa ATF umepokea taarifa za kifo cha Bw. Matti Korvekontio ambaye ni mume wa Bi. Winnie Shangali (Mtanzania), kilichotokea jana asubuhi nyumbani kwao Helsinki. Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa RAMBIRAMBI kwa ajili ya mkono wa pole kwa mwenzetu. AKAUNTI YA RAMBIRAMBI Akaunti: FI62 1014 3500 1182 58 Jina: Melina [...]

2018-06-01T13:09:51+00:00June 1st, 2018|Msiba|Comments Off on Taarifa ya Msiba mwingine

Msiba wa Mtanzania mwenzetu

Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Wakwe (wazazi wa mke) wa Mtanzania mwenzetu Bw Edward Mutafungwa. Mama mkwe (Bi Parveen Akhtar) alifariki asubuhi ya tarehe 30.05.2018 na Baba mkwe (Bw Samuel Fiaz) alifariki siku moja baadaye, yaani tarehe 31.05.2018. Vifo vimetokea Finland. Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00June 1st, 2018|Msiba|Comments Off on Msiba wa Mtanzania mwenzetu

Taarifa Ya Msiba

TANZIA Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Baba mzazi wa Mtanzania mwenzetu Bi Yvonne Kajiru - Mzee Dr Rabieth K. Mndeme. Msiba umetokea tarehe 14 mwezi wa tano, 2018 huko Same, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa RAMBIRAMBI kwa ajili ya mkono wa pole kwa mwenzetu. Akaunti ya Rambirambi [...]

2018-05-15T11:36:03+00:00May 15th, 2018|ATF, Msiba|2 Comments

Taarifa ya Msiba

Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Bw. John Mponda ambaye pia alikuwa mwalimu wa Taasisi ya sanaa TASUBA, Bagamoyo. Marehemu ni kaka katika familia ya kina Mponda waishio Finland (Mernard, Deo, Michael, Catherine). Msiba umetokea leo nchini Tanzania. Tutakutana leo nyumbani kwa dada wa mfiwa Catherine Knuutila kuipa mkono wa pole familia [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00March 18th, 2018|Msiba|Comments Off on Taarifa ya Msiba

Taarifa Ya Msiba

TANZIA Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mama Gonga Monica Mfinanga ambaye ni mama mzazi wa Mtanzania mwenzetu John Mfinanga almaarufu OCG. Msiba umetokea mchana wa tarehe 14 Februari, 2018 huko Arusha,Tanzania. Imeamuliwa kukutana na kumpa pole ndugu yetu OCG siku ya Alhamisi tarehe 15.02.2018 nyumbani kwake: Muda: 17:00 (Kumi na [...]

2018-02-14T18:38:53+00:00February 14th, 2018|ATF, habari, Msiba|Comments Off on Taarifa Ya Msiba