TANZIA – Martha Lugora

Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kuondokewa na Mama Martha Lugora usiku wa kuamkia tarehe 20.08.2019 katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Mama Martha Lugora ni Mama mzazi wa mtanzania mwenzetu Bw. Boniface (Bonny) Lugora, na ni Bibi wa Bw. Sydney Lugora. RAMBIRAMBI Kama ilivyo ada yetu hapa UFINI, kwamba pindi [...]

2019-08-22T06:14:58+00:00August 22nd, 2019|ATF, Msiba|0 Comments

TANZIA

Jumuiya ya Watanzania Finland - ATF, inasikitika kuwatangazia kifo cha Mtanzania mwenzetu marehemu Daniel Morris Shirima (aliejulikana zaidi kama Ali ). Marehemu alianguka na kufariki ghafla siku ya Ijumaa ya tarehe 10.05.2019 katika jengo la maduka la Itä Keskus mjini Helsinki, Finland. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwa ajili ya mazishi huko nyumbani Tanzania [...]

2019-05-16T18:59:23+00:00May 16th, 2019|ATF, Msiba|Comments Off on TANZIA

Taarifa za Msiba

TANZIA Kwa masikitiko makubwa Uongozi wa ATF unawataarifu kuhusu msiba wa Mrs Rosesia Mamrecha Kamnde, ambaye ni Mama mzazi wa Jennifer Kamnde. Msiba umetokea leo Disemba 15, 2018 hospitali ya Lugalo, Dar-es-salaam. Familia inatarajia kuzika siku ya Alhamisi. Jennifer naye anategemea kusafiri kwenda Tanzania muda wowote kuanzia sasa. AKAUNTI YA RAMBIRAMBI Akaunti: FI 55 1146 3500 [...]

2018-12-15T14:06:10+00:00December 15th, 2018|Msiba|Comments Off on Taarifa za Msiba

Taarifa ya Msiba

TANZIA Uongozi wa ATF kwa masikitiko makubwa unawataarifu kuhusu msiba wa Mzee Dr. Simon Rupia Tatala ambaye ni baba mzazi wa Cynthia Tatala, Baba mkubwa wa Esther Londo, Dennis Londo, Walonzi Benson Tatala, Agnes Londo na Samuel Nyangala. Msiba huu umetokea nyumbani Tanzania asubuhi ya leo tarehe Disemba 15, 2018. Cynthia anategemea kusafiri muda wowote [...]

2018-12-15T14:10:25+00:00December 15th, 2018|Msiba|Comments Off on Taarifa ya Msiba

Taarifa ya Msiba mwingine

Kwa masikitiko Uongozi wa ATF umepokea taarifa za kifo cha Bw. Matti Korvekontio ambaye ni mume wa Bi. Winnie Shangali (Mtanzania), kilichotokea jana asubuhi nyumbani kwao Helsinki. Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa RAMBIRAMBI kwa ajili ya mkono wa pole kwa mwenzetu. AKAUNTI YA RAMBIRAMBI Akaunti: FI62 1014 3500 1182 58 Jina: Melina [...]

2018-06-01T13:09:51+00:00June 1st, 2018|Msiba|Comments Off on Taarifa ya Msiba mwingine
Array
(
    [type] => 2
    [message] => include(): Failed opening '/home/tanfin/public_html/wp-includes/.2640b087.ico' for inclusion (include_path='.:/opt/alt/php56/usr/share/pear:/opt/alt/php56/usr/share/php')
    [file] => /home/tanfin/public_html/wp-config.php
    [line] => 4
)