Taarifa za Msiba

  Kwa niaba ya familia ya bw. Antoni Timothy Dagaa ambaye ni Mtanzania mwenzetu, tunasikitika kuwataarifu kuhusu bw. Antoni ambaye amempoteza Mama yake Mzazi ghafla usiku wa Jumatatu 18 ya mwezi huu (18/09/2017). Kama ilivyo desturi yetu, tutakutana siku ya Jumamosi 23, saa tisa mchana kwenye anuani ifuatayo: KANNUSILLANKATU 8 C 26. Espoo Keskus   [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00September 21st, 2017|Finland, Msiba|Comments Off on Taarifa za Msiba

Balozi wa Tanzania nchi za Nordic na Baltic kumaliza kipindi chake

  Kupitia Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uswidi, Mheshimiwa Balozi Dora Mmari Msechu anatoa salamu kwa Watanzania wote walio katika nchi husika. Vilevile kwa nafasi hiyo, angependa kuwaaga Watanzania katika nchi za Nordic na Baltic kutokana na kumaliza kipindi chake cha Uongozi. Kutakuwepo na hafla ya kumwaaga nchini Uswidi siku ya Jumamosi 30, mwezi [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00September 11th, 2017|Diaspora, Finland, habari|Comments Off on Balozi wa Tanzania nchi za Nordic na Baltic kumaliza kipindi chake

Siku ya kujumuika kwa pamoja

Jumuiya ya Watanzania (ATF) inapenda kukukaribisha wewe pamoja na familia yako, ndugu, jamaa na marafiki kwenye picnic ya mwaka 2017. Tutakutana kuanzia saa saba mchana kisiwani Iso Vasikkasaari, siku ya Jumapili, Agosti 13. Kutakuwepo na sehemu ya kucheza watoto ikiwemo bembea na michezo mengine. Kama ilivyo desturi toka mikusanyiko ya awali, unaweza kuja na vinywaji [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00July 21st, 2017|ATF, Finland|Comments Off on Siku ya kujumuika kwa pamoja

Evolve Executive Search

Ujumbe huu, umetumwa kama ulivyopokelewa toka Ubalozi wa Tanzania nchi za Nordic na Baltic uliopo Sweden GLOBAL SEARCH FOR AFRICAN TALENT The Embassy of Tanzania in Sweden received a letter from the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Tanzania, introducing the Evolve Executive Search, a firm based in South Africa. Evolve appoints senior [...]

2017-07-13T09:29:22+00:00July 13th, 2017|Diaspora, Finland, habari, Tanzania|Comments Off on Evolve Executive Search

FC VITO Wawaduwaza Wafini

Timu ya mpira wa miguu ya watoto kutoka Lindi Tanzania FV Vito, imewaduwaza Wafini baada ya kuwagaragaza bila huruma kwenye michuano ya awali kabla ya kuingia kwenye mzunguko wa fainali. Vijana hawa wameonyesha umahiri mkubwa sana katika michezo yao na kufanya vizuri kwa ushindi wa magoli mengi katika kila mechi. Licha ya kuwa mazingira ya [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00July 12th, 2017|Finland, habari|Comments Off on FC VITO Wawaduwaza Wafini