Karibu Sherehe za Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania

Uhuru wa Tanzania Kwa mara nyingine tena, Uongozi wa ATF unaandaa Sherehe za Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania. Sherehe zitafanyika JUMAMOSI ya tarehe 8 Disemba 2018. Watanzania wote waishio Finland na nchi jirani wanakaribishwa kwenye sherehe hizo. Kutokana na sheria za udhibiti wa idadi ya watu ili ilingane na uwezo wa ukumbi [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00October 28th, 2018|Finland, UHURU|Comments Off on Karibu Sherehe za Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania

MWALIKO TOKA JUMUIYA YA ANAMBRA

Jumuiya ya Anambra unawakaribisha Watanzania wote kushiriki kwenye sherehe za Utamaduni wa Mwafrika utakaofanyika siku ya Jumamosi ijayo 11, Agosti, kuanzia saa sita mchana. Kutakuwepo na wawakilishi kutoka nchi kadhaa za Kiafrika wakiwa na maonyesho yao. Iwapo ungependa kufanya onyesho la kitamaduni siku hiyo wasiliana moja kwa moja na Jumuiya ya Anambra kupitia: Simu: +358443031191, [...]

2018-08-08T21:27:33+00:00August 8th, 2018|Finland, habari|Comments Off on MWALIKO TOKA JUMUIYA YA ANAMBRA

Nafasi ya kutuma maombi ya pasipoti (sio za kieletroniki)

Ndugu Mwanajumuiya, ATF imepokea taarifa toka Ubalozi wa Tanzania Uswidi kwamba Afisa Ubalozi wetu anatarajia kuwepo Helsinki kwa ajili ya mkutano wa kiserikali. Siku za nyuma ATF iliwahi kutuma ombi Ubalozini la kuletewa huduma ya maombi ya pasipoti. Sambamba na ziara yake ya kiserikali, Afisa Ubalozi amependekeza siku ya JUMAMOSI ya tarehe 28 APRILI, 2018 [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00April 21st, 2018|Finland, Ubalozi|Comments Off on Nafasi ya kutuma maombi ya pasipoti (sio za kieletroniki)

HUDUMA ZA UINGIZAJI NA UTOAJI WA MIZIGO YA DIASPORA NCHINI

Jumuiya ya Watanzania imepokea barua ifuatayo kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi: Kwa viongozi wa jumuia ya Watanzania nchi za Nordic na Baltic. YAH: HUDUMA ZA UINGIZAJI NA UTOAJI WA MIZIGO YA DIASPORA NCHINI Ubalozi wa Tanzania, Sweden umepokea barua kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambayo ni maelezo ya [...]

2018-01-12T17:54:18+00:00January 12th, 2018|Finland, habari, Tanzania|Comments Off on HUDUMA ZA UINGIZAJI NA UTOAJI WA MIZIGO YA DIASPORA NCHINI

Taarifa za Msiba

  Kwa niaba ya familia ya bw. Antoni Timothy Dagaa ambaye ni Mtanzania mwenzetu, tunasikitika kuwataarifu kuhusu bw. Antoni ambaye amempoteza Mama yake Mzazi ghafla usiku wa Jumatatu 18 ya mwezi huu (18/09/2017). Kama ilivyo desturi yetu, tutakutana siku ya Jumamosi 23, saa tisa mchana kwenye anuani ifuatayo: KANNUSILLANKATU 8 C 26. Espoo Keskus   [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00September 21st, 2017|Finland, Msiba|Comments Off on Taarifa za Msiba