TAARIFA MUHIMU KWA DIASPORA

Jumuiya ya Watanzania (ATF) imepokea taarifa kupitia kiongozi wake kuhusu upatikanaji wa kitambulisho cha Taifa: Ndugu Watanzania wenzangu, Hakuna asiyejua umuhimu wa kuwa na kitambulisho cha kitaifa hasa kipindi hiki ambapo ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha anapata kitambulisho hicho. Mamlaka inayotoa vitambulisho vya kitaifa (NIDA), wakotayari na wanatoa huduma hiyo katika jengo la Magereza [...]

2018-03-22T05:46:03+00:00March 1st, 2018|Diaspora, habari, Tanzania|Comments Off on TAARIFA MUHIMU KWA DIASPORA

Balozi wa Tanzania nchi za Nordic na Baltic kumaliza kipindi chake

  Kupitia Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uswidi, Mheshimiwa Balozi Dora Mmari Msechu anatoa salamu kwa Watanzania wote walio katika nchi husika. Vilevile kwa nafasi hiyo, angependa kuwaaga Watanzania katika nchi za Nordic na Baltic kutokana na kumaliza kipindi chake cha Uongozi. Kutakuwepo na hafla ya kumwaaga nchini Uswidi siku ya Jumamosi 30, mwezi [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00September 11th, 2017|Diaspora, Finland, habari|Comments Off on Balozi wa Tanzania nchi za Nordic na Baltic kumaliza kipindi chake

KONGAMANO LA NNE LA DIASPORA

ATF imepokea barua toka Ubalozini yenye ujumbe ufuatao. YAH: KONGAMANO LA NNE LA DIASPORA, ZANZIBAR, TAREHE 23-24 AGOSTI 2017  Kwa Viongozi wa Jumuia ya Watanzania, Ubalozi wa Tanzania, Sweden umepokea barua kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuhusu Kongamano la Nnne la Diaspora litakalofanyika Zanzibar, Tarehe 23-24 AGOSTI 2017. Kongamano hili linaandaliwa na Wizara [...]

2017-07-16T20:43:16+00:00July 16th, 2017|Diaspora, habari, Ubalozi|Comments Off on KONGAMANO LA NNE LA DIASPORA

Evolve Executive Search

Ujumbe huu, umetumwa kama ulivyopokelewa toka Ubalozi wa Tanzania nchi za Nordic na Baltic uliopo Sweden GLOBAL SEARCH FOR AFRICAN TALENT The Embassy of Tanzania in Sweden received a letter from the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Tanzania, introducing the Evolve Executive Search, a firm based in South Africa. Evolve appoints senior [...]

2017-07-13T09:29:22+00:00July 13th, 2017|Diaspora, Finland, habari, Tanzania|Comments Off on Evolve Executive Search
Go to Top