RISALA YA ATF
Ndugu Mwanajumuiya, Kutokana na uwepo wa Balozi wetu Mh. Dkt. Willibrod Peter Slaa kama mgeni rasmi wa heshima kwenye sherehe za Uhuru, Uongozi wa ATF unaandaa risala ya kumsomea Mh. Balozi. Uongozi wa ATF umeona ni vema kuwahusisha Wanajumuiya wote katika kuchangia maombi, mapendekezo, hoja, maswali n.k Endapo utakuwa na mchango mmojawapo wa yaliyotajwa hapo [...]