RISALA YA ATF

Ndugu Mwanajumuiya, Kutokana na uwepo wa Balozi wetu Mh. Dkt. Willibrod Peter Slaa kama mgeni rasmi wa heshima kwenye sherehe za Uhuru, Uongozi wa ATF unaandaa risala ya kumsomea Mh. Balozi. Uongozi wa ATF umeona ni vema kuwahusisha Wanajumuiya wote katika kuchangia maombi, mapendekezo, hoja, maswali n.k Endapo utakuwa na mchango mmojawapo wa yaliyotajwa hapo [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00November 9th, 2018|ATF, Diaspora|Comments Off on RISALA YA ATF

Namna ya kupata Pasipoti Mpya ya Kielektroniki

Ndugu Mwanajumuiya, Kama ambavyo labda umekwisha kusikia, utoaji wa Pasipoti mpya umeanza nchini Tanzania. ATF inawaletea maelezo rasmi na ya kina ya utaratibu wa kufanya maombi ya kupata Pasipoti za kielektroniki (hasa kwa Wanadiaspora). Unashauriwa kufanya hivyo endapo hujaomba Pasipoti hii mpya ya kielektroniki tayari. Maelekezo yanapatikana hapa (bofya neno 'hapa'). Endapo utakuwa unahitaji usaidizi [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00October 10th, 2018|ATF, Diaspora, Tanzania|Comments Off on Namna ya kupata Pasipoti Mpya ya Kielektroniki

Mwaliko wa siku ya kifamilia 2018 — IMEAHIRISHWA

SIKU YA KIFAMILIA ATF ATF inayo furaha kuwakaribisha Wanajumuya wote siku ya kifamilia (Picnic). Picnic hiyo itafanyika siku ya Jumamosi 18, mwezi Agosti saa sita kamili mchana. HII SIKU IMEAHIRISHWA MPAKA TUTAKAPOWATAARIFU!! Mahala ni ufukweni mwa Scandic Rosendahl (Jalkasaarentie 7, Tampere). Ramani ya mahala hapo inapatikana hapa. [wunderground location="Tampere, Finland" numdays="3" layout="simple" measurement="c" hidedata="search,alerts"] Kama [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00July 22nd, 2018|ATF|Comments Off on Mwaliko wa siku ya kifamilia 2018 — IMEAHIRISHWA

Taarifa Ya Msiba

TANZIA Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Baba mzazi wa Mtanzania mwenzetu Bi Yvonne Kajiru - Mzee Dr Rabieth K. Mndeme. Msiba umetokea tarehe 14 mwezi wa tano, 2018 huko Same, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa RAMBIRAMBI kwa ajili ya mkono wa pole kwa mwenzetu. Akaunti ya Rambirambi [...]

2018-05-15T11:36:03+00:00May 15th, 2018|ATF, Msiba|2 Comments

Fursa za kuwekeza nchini Tanzania

Uwekezaji Uongozi wa ATF umepokea ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje kupitia Ubalozi wetu, Uswidi. Ujumbe una maelezo kuhusu kuwekeza kupitia mfuko wa UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania Asset Management and Investor Services). Tafadhali pitia barua hiyo iliyoambatanishwa hapa chini: [pdf-embedder url="http://tanfin.org/wp-content/uploads/2018/04/Letter-collective-investment-Scheme-for-the-Diaspora.pdf" title="Letter - collective investment Scheme for the Diaspora"] ANGALIZO [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00April 21st, 2018|ATF, Diaspora|Comments Off on Fursa za kuwekeza nchini Tanzania