Baraza la ATF

Tunapenda kukutaarifu kwamba tumefungua ukurasa wa MIJADALA. Ukurasa huo unaitwa Baraza.

Karibu kushiriki katika mijadala kuhusu jinsi ya kuboresha Jumuiya yetu.

Ili kuingia kwenye baraza la ATF Bofya hapa

ANGALIZO
Ili kudhibiti matumizi mabaya ya Baraza kutoka vyanzo visivyo rasmi (km anti social, hackers) unatakiwa kuandikisha Jina na Anwani pepe yako.

Tafadhali shirikisha wengine kwa kuwatumia taarifa hii.

Uongozi ATF

2017-01-19T08:44:28+00:00January 18th, 2017|ATF, habari|Comments Off on Baraza la ATF