About ATF

This author has not yet filled in any details.
So far ATF has created 25 blog entries.

OFA YA TIKETI TOKA UBALOZINI

ATF imepokea kutoka Ubalozi wa Tanzania Sweden, tiketi saba(7) za kuingilia kwenye maonesho ya utalii yajulikanayo kama Matka & Caravan 2018 Tiketi zinaweza kutumika Tarehe 19, 20 au 21 Januari 2018 Maelezo ya Maonesho: Jina: MATKA Nordic Travel Fair | 18-21 Jan 2018 Mahali: Messukeskus Itä Pasila Helsinki. Banda: Banda la Tanzania ni namba 7D148. [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00January 18th, 2018|ATF, Ubalozi|Comments Off on OFA YA TIKETI TOKA UBALOZINI

Vidokezo Muhimu Kuhusu Sherehe Za Miaka 56 ya UHURU Wa Tanzania

Karibu tusherehekee kwa pamoja sherehe za miaka 56 ya uhuru wa Tanzania. Makala hii inalenga kukupa vidokezo muhimu na taarifa zake kuhusu maandalizi na mambo muhimu kuelekea sherehe za uhuru wa tanzania hapa Ufini. ATF imejikita katika kuhakikisha inaandaa sherehe zenye urasmi na hadhi ya mtanzania. Ili kufaidika na utaratibu mzima wa sherehe za mwaka [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00December 7th, 2017|ATF, habari, UHURU|Comments Off on Vidokezo Muhimu Kuhusu Sherehe Za Miaka 56 ya UHURU Wa Tanzania

KONGAMANO LA NNE LA DIASPORA

ATF imepokea barua toka Ubalozini yenye ujumbe ufuatao. YAH: KONGAMANO LA NNE LA DIASPORA, ZANZIBAR, TAREHE 23-24 AGOSTI 2017  Kwa Viongozi wa Jumuia ya Watanzania, Ubalozi wa Tanzania, Sweden umepokea barua kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuhusu Kongamano la Nnne la Diaspora litakalofanyika Zanzibar, Tarehe 23-24 AGOSTI 2017. Kongamano hili linaandaliwa na Wizara [...]

2017-07-16T20:43:16+00:00July 16th, 2017|Diaspora, habari, Ubalozi|Comments Off on KONGAMANO LA NNE LA DIASPORA

TAARIFA YA MSIBA WA MZEE ATUPELE PAUL MWAKIPESILE

TAARIFA YA MSIBA Ndugu Watanzania tunaoishi hapa Finland, Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mzee ATUPELE PAUL MWAKIPESILE (80). Mzee ATUPELE ni Baba mzazi wa Mtanzania mwenzetu, Gibson Mwakipesile. Msiba umetokea usiku wa tarehe 15 Julai 2017 huko nyumbani Dar es salaam, Tanzania, na mazishi yanatarajiwa kufanyika mkoani Mbeya mara [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00July 15th, 2017|ATF, habari, Msiba|Comments Off on TAARIFA YA MSIBA WA MZEE ATUPELE PAUL MWAKIPESILE

SHEREHE YA KUWAAGA FC VITO

Kutakuwa na sherehe ya kuwaaga watoto wa FC VITO Kutoka Lindi - Tanzania Sherehe hii imeandaliwa na wenyeji wa FC VITO na waandaaji wa Helsinki CUP. Tarehe: Jumamosi 15 Julai 2017 Mahali: Radiokatu 20 Helsinki Muda: 18:00 Sherehe ni ya wazi, lengo ni kuagana na watoto wetu kutoka Tanzania baada ya michuano yao ya Helsinki [...]

2017-07-14T15:47:38+00:00July 14th, 2017|Uncategorized|Comments Off on SHEREHE YA KUWAAGA FC VITO