About ATF

This author has not yet filled in any details.
So far ATF has created 23 blog entries.

Salaam kutoka kwa Balozi Dkt. Willibrod Peter Slaa kwa Watanzania Wanaoishi katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine

Balozi Wa Tanzania Katika nchi za Nordic na Baltic DKT Willibrod Peter Slaa Uongozi wa ATF umepokea barua ya salaam kwa wanadiaspora toka kwa Mh. Balozi Willibrod Slaa. Tafadhali soma salam hizo kutoka kwenye barua iliyo ambatanishwa hapa chini. [pdf-embedder url="https://tanfin.org/wp-content/uploads/2018/03/Salaam-kwa-Diaspora.pdf" title="Salaam kwa Diaspora"]

2018-12-05T05:18:36+00:00March 23rd, 2018|Diaspora, habari, Ubalozi|Comments Off on Salaam kutoka kwa Balozi Dkt. Willibrod Peter Slaa kwa Watanzania Wanaoishi katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine

Taarifa Ya Msiba

TANZIA Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mama Gonga Monica Mfinanga ambaye ni mama mzazi wa Mtanzania mwenzetu John Mfinanga almaarufu OCG. Msiba umetokea mchana wa tarehe 14 Februari, 2018 huko Arusha,Tanzania. Imeamuliwa kukutana na kumpa pole ndugu yetu OCG siku ya Alhamisi tarehe 15.02.2018 nyumbani kwake: Muda: 17:00 (Kumi na [...]

2018-02-14T18:38:53+00:00February 14th, 2018|ATF, habari, Msiba|Comments Off on Taarifa Ya Msiba

Taarifa Ya Msiba Toka Ubalozini

ATF imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba wa  afisa Ubalozi BW. ARTHUR ENOS MWAMBENE Aliyefariki tarehe 28 Januari 2018 huko Dar es salaam Tanzania. Ifuatayo ni taarifa rasmi toka Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania - Sweden [pdf-embedder url="https://tanfin.org/wp-content/uploads/2018/01/TAARIFA-YA-MSIBA.pdf" title="TAARIFA YA MSIBA"]   ATF kwa niaba ya wanajumuiya wake wote, inaotoa pole kwa wote waliofikwa [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00January 29th, 2018|ATF, Msiba, Ubalozi, Uncategorized|Comments Off on Taarifa Ya Msiba Toka Ubalozini

OFA YA TIKETI TOKA UBALOZINI

ATF imepokea kutoka Ubalozi wa Tanzania Sweden, tiketi saba(7) za kuingilia kwenye maonesho ya utalii yajulikanayo kama Matka & Caravan 2018 Tiketi zinaweza kutumika Tarehe 19, 20 au 21 Januari 2018 Maelezo ya Maonesho: Jina: MATKA Nordic Travel Fair | 18-21 Jan 2018 Mahali: Messukeskus Itä Pasila Helsinki. Banda: Banda la Tanzania ni namba 7D148. [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00January 18th, 2018|ATF, Ubalozi|Comments Off on OFA YA TIKETI TOKA UBALOZINI

Vidokezo Muhimu Kuhusu Sherehe Za Miaka 56 ya UHURU Wa Tanzania

Karibu tusherehekee kwa pamoja sherehe za miaka 56 ya uhuru wa Tanzania. Makala hii inalenga kukupa vidokezo muhimu na taarifa zake kuhusu maandalizi na mambo muhimu kuelekea sherehe za uhuru wa tanzania hapa Ufini. ATF imejikita katika kuhakikisha inaandaa sherehe zenye urasmi na hadhi ya mtanzania. Ili kufaidika na utaratibu mzima wa sherehe za mwaka [...]

2018-12-05T05:18:37+00:00December 7th, 2017|ATF, habari, UHURU|Comments Off on Vidokezo Muhimu Kuhusu Sherehe Za Miaka 56 ya UHURU Wa Tanzania
Array
(
    [type] => 8
    [message] => Undefined variable: undefinedVariable
    [file] => /home/tanfin/public_html/wp-content/plugins/wordfence/lib/wfUtils.php
    [line] => 1524
)