Kongamano la Baraza la Diaspora la Dunia
Ndugu Mwanajumuiya, Uongozi wa ATF unakutaarifu kuhusu zinduo la Baraza la Diaspora la Dunia au kifupi TDC (Tanzania Global Diaspora Council). Zinduo hilo litafanyika Aprili 10, mwaka huu (siku ya Jumatano). Siku hiyo itajumuisha vilevile habari kuhusu uwekezaji na wawekezaji Tanzania. Tafadhali rejea picha hapa chini kwa taarifa kuhusu uzinduzi huo: Maelezo zaidi ya kujiandikisha [...]