Taarifa ya Msiba

TANZIA

Uongozi wa ATF kwa masikitiko makubwa unawataarifu kuhusu msiba wa Mzee Dr. Simon Rupia Tatala ambaye ni baba mzazi wa Cynthia Tatala, Baba mkubwa wa Esther Londo, Dennis Londo, Walonzi Benson Tatala, Agnes Londo na Samuel Nyangala. Msiba huu umetokea nyumbani Tanzania asubuhi ya leo tarehe Disemba 15, 2018. Cynthia anategemea kusafiri muda wowote kuanzia sasa kuelekea Tanzania.

Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa RAMBIRAMBI kwa ajili ya mkono wa pole kwa mwenzetu:

AKAUNTI YA RAMBIRAMBI
Akaunti: FI89 1343 3500 0279 31
Jina: Esther Londo
Benki: Nordea
Ujumbe: Pole Cynthia

 

Marehemu apumzike kwa amani. Tafadhali mfahamishe na mwingine.

Uongozi ATF

2018-12-15T14:10:25+00:00December 15th, 2018|Msiba|Comments Off on Taarifa ya Msiba