Ukurasa Mkuu2018-12-12T19:36:17+00:00

Jumuiya ya Watanzania Finland (ATF) ni CHAMA kwa ajili ya KILA MTANZANIA aishie Finland. ATF ipo kwa ajili ya kuwaunganisha Watanzania wote waishio Finland katika masuala mbalimbali ya kijamii. Zaidi ya hapo, ATF itajishugulisha katika kuwakilisha maslahi ya Watanzania hapa Finland na nyumbani Tanzania. Soma zaidi…