Nafasi za Mafunzo ya Kazi

 

Ndugu Wanajumuiya,

ATF inawataarifu kuhusu nafasi za mafunzo ya kutafuta wataalamu watakaofuzu katika masuala ya Ujasiriamali na matumizi ya TEHAMA (Information Communication Technology).

Mafunzo yanadhaminiwa na Mradi wa Mfuko wa Nchi za Umoja wa Ulaya – EU.

Maelezo zaidi yapo katika viambatanishi hapa na hapa.

Unaweza kutuma mtalaa wa maelezo binafsi – CV kwa anuani pepe ifuatayo: sami.teittinen@kvlakk.fi

Ni vema kufuatilia mapema iwezekanavyo.

Tafadhali, mtaarifu Mtanzania ambaye anaweza nufaika na nafasi hii.

Uongozi ATF

2018-12-30T20:55:24+00:00December 30th, 2018|habari|Comments Off on Nafasi za Mafunzo ya Kazi