Matka Nordic Travel Fair 2019

Unakaribishwa kutembelea banda la Tanzania katika maonesho ya Matka Nordic Travel Fair 2019, yanayofanyika Helsinki Finland, katika ukumbi wa maonesho wa Messukeskus 18.-20.1.2019.

Banda la Tanzania ni 7F141

Kwa maelezo kuhusu washiriki, ratiba pamoja na gharama za kuingia, tafadhali tembelea Matka Nordic Travel Fair

Tanzania inawakilishwa na wadau mbali mbali ambao wamekuja maalum kwa ajili ya kutangaza vivutio mbalimbali vya Tanzania pamoja na utamaduni wake.

Njoo na marafiki, ili kwa pamoja tutangaze nchi yetu.

Upatapo ujumbe mjulishe na mwingine.

2019-01-17T07:10:46+00:00January 16th, 2019|Finland, habari, Tanzania|Comments Off on Matka Nordic Travel Fair 2019