Marekebisho ya Katiba ya ATF

 

Ndugu Mwanajumuiya,

Uongozi unakuletea taarifa kuhusu marekebisho ya Katiba ya Jumuiya ya Watanzania (ATF).  Mchango wako wa kimawazo, ushauri na mengineyo utakuwa na nafasi muhimu katika kuboresha uendeshaji na shughuli za kijumuiya. Ni vema ukichukua muda ukasoma kwa makini marekebisho hayo. Kwa maelezo zaidi na kuweza kusoma marekebisho hayo, bofya hapa.

 

Uongozi ATF

2019-02-16T19:17:08+00:00February 16th, 2019|habari|Comments Off on Marekebisho ya Katiba ya ATF