Mafunzo kwa ajili ya Vijana na Wazazi

Ndugu Mwanajumuiya,

Uongozi umepokea taarifa kuhusu kuwepo tukio la kuelimisha vijana, wazazi ambao ni wahamiaji hapa nchini Finland. Mwakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Elimu Finland atakuwepo kwenye tukio hilo.

LINI: Alhamisi, Aprili 11, 2019 saa kumi jioni. Taarifa zaidi inapatikana kwenye picha ifuatayo:

🗓

Uongozi ATF

2019-02-20T04:11:01+00:00February 20th, 2019|Uncategorized|Comments Off on Mafunzo kwa ajili ya Vijana na Wazazi