22 02, 2019

Nafasi za Uongozi wa ATF

2019-02-22T22:45:09+00:00February 22nd, 2019|ATF, habari|1 Comment

Nafasi za Uongozi - 2019 Ndugu Mwanajumuiya, Kama unavyofahamu kwamba moja ya mada za Mkutano Mkuu wa 2019 ni Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya yetu. Uongozi wa ATF unakukaribisha katika mchakato wa maandalizi ya uchaguzi wa viongozi wetu. Kila Mwanajumuiya mlipa ADA ana haki ya kushiriki katika uchaguzi kwa KUCHAGUA au KUCHAGULIWA katika nafasi ya [...]

20 02, 2019

Mafunzo kwa ajili ya Vijana na Wazazi

2019-02-20T04:11:01+00:00February 20th, 2019|Uncategorized|Comments Off on Mafunzo kwa ajili ya Vijana na Wazazi

Ndugu Mwanajumuiya, Uongozi umepokea taarifa kuhusu kuwepo tukio la kuelimisha vijana, wazazi ambao ni wahamiaji hapa nchini Finland. Mwakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Elimu Finland atakuwepo kwenye tukio hilo. LINI: Alhamisi, Aprili 11, 2019 saa kumi jioni. Taarifa zaidi inapatikana kwenye picha ifuatayo: 🗓 Uongozi ATF

16 02, 2019

Marekebisho ya Katiba ya ATF

2019-02-16T19:17:08+00:00February 16th, 2019|habari|Comments Off on Marekebisho ya Katiba ya ATF

  Ndugu Mwanajumuiya, Uongozi unakuletea taarifa kuhusu marekebisho ya Katiba ya Jumuiya ya Watanzania (ATF).  Mchango wako wa kimawazo, ushauri na mengineyo utakuwa na nafasi muhimu katika kuboresha uendeshaji na shughuli za kijumuiya. Ni vema ukichukua muda ukasoma kwa makini marekebisho hayo. Kwa maelezo zaidi na kuweza kusoma marekebisho hayo, bofya hapa.   Uongozi ATF

27 01, 2019

Mkutano wa Matayarisho ya Bajeti ya Serikali

2019-01-27T20:17:43+00:00January 27th, 2019|Uncategorized|Comments Off on Mkutano wa Matayarisho ya Bajeti ya Serikali

Ndugu Mwanajumuiya, Uongozi ungependa kuwajulisha kuhusu Mkutano ulioandaliwa na Wizara ya Fedha na Mipango kupitia Kamati ya Ushauri na Sera za Kodi. Sikiliza video iliyoandaliwa kuhusu taarifa hiyo: Uongozi wa ATF