MWALIKO TOKA JUMUIYA YA ANAMBRA

Jumuiya ya Anambra unawakaribisha Watanzania wote kushiriki kwenye sherehe za Utamaduni wa Mwafrika utakaofanyika siku ya Jumamosi ijayo 11, Agosti, kuanzia saa sita mchana. Kutakuwepo na wawakilishi kutoka nchi kadhaa za Kiafrika wakiwa na maonyesho yao. Iwapo ungependa kufanya onyesho la kitamaduni siku hiyo wasiliana moja kwa moja na Jumuiya ya Anambra kupitia: Simu: +358443031191, [...]

2018-08-08T21:27:33+00:00August 8th, 2018|Finland, habari|Comments Off on MWALIKO TOKA JUMUIYA YA ANAMBRA

Mwaliko wa Siku ya Kiswahili (Swahili Day)

Kwa wanajumuiya wote wa Kitanzania waishio Finland, Ubalozi wa Tanzania, Kenya, Rwanda, DRC (Congo), Zambia na Msumbiji unawakaribisha kwenye tukio la Siku ya Kiswahili/ Swahili Day itakayokuwa nchini Uswidi. Siku hiyo itaadhimishwa JUMAMOSI. tarehe 16, mwezi Juni. Kauli mbiu ya sherehe za mwaka huu ni CHILDREN AND SWAHILI LITERATURE ANUANI: Bergshamra Skola, Hjortsigen 1, Bergshamra [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00May 24th, 2018|habari, Ubalozi|Comments Off on Mwaliko wa Siku ya Kiswahili (Swahili Day)

Salaam kutoka kwa Balozi Dkt. Willibrod Peter Slaa kwa Watanzania Wanaoishi katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine

Balozi Wa Tanzania Katika nchi za Nordic na Baltic DKT Willibrod Peter Slaa Uongozi wa ATF umepokea barua ya salaam kwa wanadiaspora toka kwa Mh. Balozi Willibrod Slaa. Tafadhali soma salam hizo kutoka kwenye barua iliyo ambatanishwa hapa chini. [pdf-embedder url="http://tanfin.org/wp-content/uploads/2018/03/Salaam-kwa-Diaspora.pdf" title="Salaam kwa Diaspora"]

2018-12-05T05:18:36+00:00March 23rd, 2018|Diaspora, habari, Ubalozi|Comments Off on Salaam kutoka kwa Balozi Dkt. Willibrod Peter Slaa kwa Watanzania Wanaoishi katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine

Ukaribisho wa Balozi mpya Sweden

Uongozi wa ATF umepokea taarifa za sherehe za kumkaribisha Balozi wetu huko mjini Stockholm, Uswidi. Sherehe hiyo imepangwa kufanyika siku ya Jumamosi, tarehe 7, Aprili. Watanzania wote waishio nchi za Baltic wanakaribishwa kuhudhuria sherehe hiyo. Sherehe imeandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio Uswidi. MUHIMU 📌 Sherehe itaanza rasmi saa Kumi na Mbili kamili jioni muda [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00March 22nd, 2018|habari, Ubalozi|Comments Off on Ukaribisho wa Balozi mpya Sweden

Fursa kwa Diaspora

Uongozi wa ATF umepokea ujumbe wa fursa kutoka Ubalozi wetu wa Kitanzania nchini Uswidi: Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania nchi za Nordic na Batic Tumepokea barua kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF yenye maelezo kuhusu miradi na huduma mbalimbali zitolewazo na taasisi hiyo kwa wateja wake ikiwa ni pamoja na Watanzania wenzetu waishio Ughaibuni. Kutokana [...]

2018-03-09T18:03:34+00:00March 9th, 2018|ATF, habari, Uncategorized|Comments Off on Fursa kwa Diaspora