About ATF

This author has not yet filled in any details.
So far ATF has created 25 blog entries.

Karibu Sherehe za Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania

Uhuru wa Tanzania Kwa mara nyingine tena, Uongozi wa ATF unaandaa Sherehe za Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania. Sherehe zitafanyika JUMAMOSI ya tarehe 8 Disemba 2018. Watanzania wote waishio Finland na nchi jirani wanakaribishwa kwenye sherehe hizo. Kutokana na sheria za udhibiti wa idadi ya watu ili ilingane na uwezo wa ukumbi [...]

2018-12-05T05:18:35+00:00October 28th, 2018|Finland, UHURU|Comments Off on Karibu Sherehe za Miaka 57 ya Uhuru wa Tanzania

Taarifa Ya Msiba

TANZIA Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Baba mzazi wa Mtanzania mwenzetu Bi Yvonne Kajiru - Mzee Dr Rabieth K. Mndeme. Msiba umetokea tarehe 14 mwezi wa tano, 2018 huko Same, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu, kutakuwa na mchango wa RAMBIRAMBI kwa ajili ya mkono wa pole kwa mwenzetu. Akaunti ya Rambirambi [...]

2018-05-15T11:36:03+00:00May 15th, 2018|ATF, Msiba|2 Comments

Salaam kutoka kwa Balozi Dkt. Willibrod Peter Slaa kwa Watanzania Wanaoishi katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine

Balozi Wa Tanzania Katika nchi za Nordic na Baltic DKT Willibrod Peter Slaa Uongozi wa ATF umepokea barua ya salaam kwa wanadiaspora toka kwa Mh. Balozi Willibrod Slaa. Tafadhali soma salam hizo kutoka kwenye barua iliyo ambatanishwa hapa chini. [pdf-embedder url="http://tanfin.org/wp-content/uploads/2018/03/Salaam-kwa-Diaspora.pdf" title="Salaam kwa Diaspora"]

2018-12-05T05:18:36+00:00March 23rd, 2018|Diaspora, habari, Ubalozi|Comments Off on Salaam kutoka kwa Balozi Dkt. Willibrod Peter Slaa kwa Watanzania Wanaoishi katika nchi za Nordic, Baltic na Ukraine

Taarifa Ya Msiba

TANZIA Uongozi wa ATF umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mama Gonga Monica Mfinanga ambaye ni mama mzazi wa Mtanzania mwenzetu John Mfinanga almaarufu OCG. Msiba umetokea mchana wa tarehe 14 Februari, 2018 huko Arusha,Tanzania. Imeamuliwa kukutana na kumpa pole ndugu yetu OCG siku ya Alhamisi tarehe 15.02.2018 nyumbani kwake: Muda: 17:00 (Kumi na [...]

2018-02-14T18:38:53+00:00February 14th, 2018|ATF, habari, Msiba|Comments Off on Taarifa Ya Msiba

Taarifa Ya Msiba Toka Ubalozini

ATF imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba wa  afisa Ubalozi BW. ARTHUR ENOS MWAMBENE Aliyefariki tarehe 28 Januari 2018 huko Dar es salaam Tanzania. Ifuatayo ni taarifa rasmi toka Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania - Sweden [pdf-embedder url="http://tanfin.org/wp-content/uploads/2018/01/TAARIFA-YA-MSIBA.pdf" title="TAARIFA YA MSIBA"]   ATF kwa niaba ya wanajumuiya wake wote, inaotoa pole kwa wote waliofikwa [...]

2018-12-05T05:18:36+00:00January 29th, 2018|ATF, Msiba, Ubalozi, Uncategorized|Comments Off on Taarifa Ya Msiba Toka Ubalozini